Amesema kuwa hadi sasa kama bingwa wa mbio ndefu kanda ya ziwa na kuufanya mkoa wa Kagera kuwa katika nafasi hiyo, anaendelea kufanya mazoezi ili aone kama atashiriki mwaka huu, hata kama mwaka jana alikwenda kwa gharama zake wakati mwingine kushinda njaa akiwa mchezoni bado aliibuka na ushindi.
Kupitia kandayaziwaleo.blogspot.com. Hili ni jukumu la wadau kusaidia kijana huyu kwani ni nembo ya mkoa katika riadha.

MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment