Makamu wa CCM bara Mh..Phillip Mangula akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini China
katika mji wa Beijing baada ya kukutana nao kwa kikao kifupi katika kujadili
mstakabali wa wasomi katika ujenzi wa taifa lao.
Hii ilifanyika baada ya ziara
fupi nchini aliyofanya Mh,Mangula mwanzoni wa wiki hii.
Picha na Mzige.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment