MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 2 February 2014

ARSENAL YAILAZA CRYSTAL PALACE 2-0

Ni kazi iliyofanywa na CHAMBERLAIN dk 56 kuandika bao la kwanza na katika dk za 70 yuleyule kuandika bao la pili.

Mtanange umemalizika na umeudhuriwa na mashabiki 60,005, kesho ni CHELSEA na MAN CITY jioni.

MWANA HARAKATI

No comments: