
Gari linaloonekana juu lilipisha gari iliyopata ajali mara baada ya dereva wa gari ili la chini kumwona mwenye scania ilianguka akija kwa kasi nyuma yake, ambapo pamoja na kumpisha, bado gari hilo limekwanguliwa kutokana na juhudi za kupishana wakati yote yakielekea sehemu moja.
Picha juu ni Trafic akiangalia hali ya gari iliyokwanguliwa na chini ni taswira ya barabara ilivyokuwa baada gari hiyo kukwanguliwa na baadhi ya molamu nyeusi zilizokuwa kwenye gari hiyo kumwagika.
Taarifa rasmi kuhusu hali za waliokuwa ndani ya gari hiyo tutakuletea kwani kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa WILIAM MKONDA amesema bado wanashughulikia ajali hiyo.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment