Akizungumza nami, mratibu wa
mpango wa maduka ya dawa Bwana Richard Selube amesema kwa yeyote atakae
gundulika kuwa amefungiwa duka lake la dawa lakini bado
anauza dawa hizo atachukuliwa hatua kali.
Aidha bwana Selube amesema malengo ya baraza la dawa yalikuwa ni kupandisha hadhi maduka yanayo kidhi vigezo na kuyafunga maduka yote yasiyo na vigezo pamoja na kuyapokonya dawa.
Sanjari na hayo ameongeza kuwa baraza la dawa linatoa dawa ambazo hazistahili kuwepo katika maduka ya dawa na kuzikabidhi zote katika manispaa husika.

MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment