Hayo yamesemwa na Jaji mfawidhi Mkoani Dodoma Crecencia Makuru wakati akitoa ufafanuzi katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini yaliyo fanyika katika viwanja vya mahakama kuu mkoani Dodoma.Akizungumza katika maadhimisho hayo Jaji Makuru amesema maudhui ya sheria ya mwaka huu ni utendaji haki kwa wakati .Sanjari na hayo amesema kuna vitu vikuu vitatu vinavyo weza kusababisha mahakama kutoaminika ikiwemo ucheleweshwaji wa kesi.
Maadhimisho
hayo ni ya kumi na nane tangu kuanziswa kwa maadhimisho hayo
mwaka 1996.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment