Taarifa za
awali zinasema ni bas la Bunda ambalo limegongwa kwenye kivuko cha treni mkoani Singida.
Wananchi wakishuudia baada ya ajali
Juu ni Tren iliyosababisha ajali na chini hali ya basi lenyewe.
Mpaka
sasa ni watu 4 wamethibitika kufa na tunaendelea kufuatilia habari zaidi juu ya
tukio hilo ikiwemo sababu ya msingi ya kusababisha ajali hiyo.
Tutaendelea
kuwajuza zaidi chochote kitakachojiri kwa undani.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment