MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 28 February 2014

WAETHIOPIA WAKAMATWA KAGERA

Ni wahamiaji haramu 5 kutoka Somalia ambao kwa taarifa kutoka ofisi ya uhamiaji mkoani Kagera wameingilia mpakani Mtukula.
 Kwa mjibu wa ofisa kutoka uhamiaji JEREMIAH MWAKIBINGA aliyezungumza kwa niaba wa kamishna msaidizi George Kombe, amewasisitiza wananchi kuacha kujihusisha na kukaribisha wahamiaji hao.

Amesema kuwa uhamiaji Kagera, leo imekamata wahamiaji5 ambao wa Passpot zao lakini hakufuata sheria za kuingia nchini, huku akisema kuwa wiki iliyopita walikamata wahamiaji haramu 3 kutoka Somalia, na taratibu za kisheria zikafuata mkondo wake.

Amewataja wa Ethioppia hao kuwa ni BAHR KECHINE, ACHEMU LAPHISO, GIZACHEW SHAIMELO, ZEKERYE EDASA ABATE na ZELEKE ASSEFA,  wote wanaume vijana.

MWANA HARAKATI

No comments: