Picha juu mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu FABIEN MASSAWE, amewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi kutokana na uwepo wa mahakama za kutosha na mahakimu.
Majaji wa mahakama ya rufaaa wapo mkoani Kagera kuanzia sasa hadi tarehe 17, wakisikiliza kesi za mahakama hiyo, ambapo wanaKagera wamepunguziwa adha ya kufuata mahakama hiyo Mwanza.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment