MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 13 February 2014

BREAKING NEWS!!! SIKU YA REDIO DUNIANI


Leo ni siku ya redio duniani mbapo wataalamu watangazaji wa redio wanakutana Dodoma kuadhimisha siku hiyo,
ambapo pamoja na mambo mengine wakongwe watatu katika tasnia hii wataongoza mada kuhusu redio duniani.

Mgeni rsmi katika maadhimisho haya ni mkuu wa mkoa wa Dodoma i Reema Nchimbi atakayekaribishwa na katibu MCT Kajubi Mkajanga na yupo mwakilishi kutoka umoja wa mataia.

Endelea kufuatilia nitakuletea undani kutoka hapa Dodoma kwenye ukumbi wa Dodoma hotel.


WSANA HARAKATI

No comments: