Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
Wednesday, 12 February 2014
HOFU YA MAFURIKO
Kwa wafuatiliaji wa blog hii ni siku chache nimewawekea taarifa ya mvua kubwa huko burudi iliyosababisha vifo vya watu zaid ya 70 na wengine kuyaama makazi yao.
Leo hali ya hewa Tanzania imekuwa ya wasiwasi wa kunyesha mvua katika mikoa karibu yote jua jakuna na kwingine kama Morogoro,Dodoma Geita na kwingine mvua imenyesha ikiambatana na upepo wa wastani.
Kuyokana na hali hiyo, baadhi ya wananchi nilioongea nao nikiwa mjini Singida mchana wa leo wamesema kwao hizi ni dalili za mvua kubwa ya kuleta mafuriko hivyo kutokana na mawasiliano niliofanya mikoa ambayo sikufika nao wanasema hawajapata jua leo na kuifanya kuwa historia nchi nzima kutowaka jua.
Tufuatilie mamlaka ya hali ya jewa TMA kwa ufafanuzi zaidi.
MWANA HARAKATI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment