Mazishi yake yamefanyika nyumbani kwake Kagondo Kaifo manispaa ya Bukoba, ambapo picha juu ni Askofu wa kanisa hilo mkoani Kagera, aliyechukua nafasi yake alioachia kabla ya kuugua na chini walioudhuria mazishi wakiendelea kusalia mwili ulioko kwenye jeneza.
Picha juu ni Kanisa la TAG Hamgembe alipokuwa akiongoza kanisa hilo, na chini ni gari iliyobeba mwili wa marehemu ukisindikizwa na magari na pikipiki kutokea mjini kati kwenda Kagondo.
Picha chini ni aliyevaa miwani na Tishirt nyeusi ni mmiliki wa blog hii Mac Ngaiza nikifuatilia maziko hayo.
Mchungaji JACKSON KABUGA, alizaliwa mwaka 1954 huko Kigoma Tanzania,ameishi mkoani Kagera kikazi na ameacha mjane na watoto 7.
Mungu ailaze roho ya marehemu maala panapostahili Amin.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment