MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 21 February 2014

BREAKING NEWS!!! WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA ULINZI WAGOMA BUKOBA

Taarifa zinasema wafanyakazi hao ambao hatujajua idadi yao, wamegoma kutokana na kudai malimbikizo ya mishaara yao kwa muda mrefu, ambapo tunafanya jitihada za kufika eneo husika na kujua undani.

Endelea kufuatilia undani.
MWANA HARAKATI

No comments: