
Wakati picha juu ikionesha mfanyabiashara ya fagio akiomba Mungu kupata mteja, chini ni Ghuba la taka lililoko ndani ya soko, na hapa linaonekana kama lina uchafu lakini wafanyabiashara wanashukuru kuwa katika hali hii, wanasema taka zimezolewa tunapumua.
Mchuuzi huyu chini anauza Parachichim ndizi kiduchu lakini machungwa ya kuhesabu, je atatoka lini? hayo yote yanapatikana Kashai Bukoba.
MWANA HARAKATI
No comments:
Post a Comment