NI KAMATI NDOGO YA
CHAMA HICHO AMBAPO ITAENDELEA NA WENGINE WATATU
Kamati hiyo bado ina kazi ya kuwahoji viongozi wengine watatu ambao leo walishindwa kufika baada ya kuomba hudhuru kwani walikuwa na majukumu mengine ya kiserikali, ambao hawajafika leo ni Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe ambaye yupo safarini nje ya nchi ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassirana Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Ndugu Januari Makamba.



No comments:
Post a Comment