MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 14 February 2014

MAHOJIANO YA CCM YALIYOFANYIKA LEO, WASIRA AKANUSHA


Leo ikiwa ni siku ya vigogo wawili waziri wa nchi ofisi ya rais STEPHEN WASIRA na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia JANUARI MAKAMBA, ni muda mfupi mahojiano hayo yamemalizika huku Wasira akikanusha kuhojiwa kwake.

Katika ratiba ya leo waliotakiwa kuhojiwa ni BERNAD MEMBE, WASIRA na JANUARY MAKAMBA ambapo leo wamehojiwa hao wawili kutokana na Membe kuwa ziarani nje ya nchi.

Akiongea na waandishi wa habari muda mfupi baada mahojiano katika ofisi za CCM hapa Dodoma, mh Wasira amesema kama alivyosema Lowasa na wenzake kuwa walikuwa wakizungumziamikakati ya chama.
MWANA HARAKATI

No comments: