
Kutoka
kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani, Naibu
Waziri wa Nishati na Madini,Mh. Charles Kitwanga pamoja na Waziri wa Kilimo,
Chakula na Ushirika, Mh. Christopha Chiza.
Mwenyekiti
wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama (aliesimama) akitoa
muongozo wa namna vikao vitakavyokuwa vinaendelea kufanyika katika kumbi mbali
mbali ndani ya Hoteli ya Malaika,iliwa ni muendelezo wa Kongamano Uwekezaji
Kanda ya Ziwa,unaoendelea kufanyika leo kwenye Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.
Juu;- Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (Tamisemi),Mh. Aggrey Mwanri (wa pili kulia) akiwa pamoja na Wajumbe
wengine kufatilia moja ya vikao kwenye Kongamano la Uwekezaji
Kanda ya Ziwa,kwenye Ukumbu wa Mikutano wa
Hoteli ya Malaika,jijini Mwanza.
Picha chini ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kulia ambaye ndie Mwenyeji wa Kongamano hilo,Mh. Everist Ndikilo.
Mwenyekiti wa Kikao kinachojadili maswala ya
Ufugaji katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Waziri wa Maendeleo ya
Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani (katikati) akizungumza na Wajumbe wa Kikao
hicho (hawapo pichani) wakati akitoa muongozo wa kikao hicho.
MWANA HARAKATI




No comments:
Post a Comment