MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 11 March 2014

BREACKING NEWS!!!UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA KUDUMU BUNGE LA KATIBA NI LEO JIONI

Hii ni baada ya kupitisha kanuni za kuliendesha bunge la kuchangia rasimu ya katiba mpya,.
Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangala.
Samwel Sitta akionesha fomu ya uenyekiti aliyochukua
Pamoja na kupitishwa kanuni hizo, kanuni ya 37 na 38 hazikupitishwa hadi zitakapojadiliwa na kuridhiwa na wajumbe.

Mwenyekiti wa kamati ya kanuni Mh COSTER MAALU amesema kuwa ni lazima ziridhiwe na wajumbe wote ambapo ni lazima usahihi katika njia inayotafutiwa ufumbuzi.

Na Mwanaharakati.

No comments: