MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 14 March 2014

BREACKING NEWS!!! MWENYEKITI WA BUNGE MAALUMU AHAPISHWA DODOMA NA KUANZA NA MKWARA WA KANUNI

Mh SAMWEL SITTA, na makamu wake SAMIA SULHU, wamehapa mbele ya makatibu wa bunge, Thomas Kashilila na Yahya Hamis Amad.

Bada ya kuhapa amekabidhiwa kiti na mwenyekiti wa muda PANDU MAEUR KIFICHO, hivyo akapata nafasi ya kutangaza ratiba kuwa wajumbe wote wataendelea kuhapishwa kuanzia sasa kwa siku tatu mfululizo.

Ameomba mwanasheria mkuu wa serikali JAJ WELEMA, kutengua kanuni na ili leo waendelee hadi sa3 usiku.
Na Mwanaharakati.

No comments: