![]() |
| Madereva Bajaj wakiwa nje ya ofisi za Chadema makao makuu Kinondoni wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini. |
![]() |
| Mmoja wa Madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari mda huu makao makuu ya Chadema Kinondoni. |
Nia ya maandamano yao hayo ni kupinga tamko
linalowataka kutopeleka abiria maeneo yote ya kati kati ya jiji la dar.Mmoja wa
madereva hao akiongea na mtandao wetu anasema kwamba wameamua kuandamana mpaka
ofisi za chadema kwa kuwa wanaamini ndio watapata msaada.Taarifa kamili fuatili
tutakuletea.
Na Mwanaharakati.



No comments:
Post a Comment