MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 15 March 2014

MLEMAVU AHUKUMIWA MIAKA 25 KWENDA JELA KWA MAUAJI

                                                                           

PASCAL SIMBIKANGWA ni mwanaume wa kwanza kuhukumiwa nchi Ufaransa baada ya miaka 20 ya mauaji ya Kimbari nchini Rwanda.

Alishitakiwa kwa uhalofu dhidi ya binadamu, kupanga na kuchochea pamoja na kusaidia juudi za mauaji ya watutsi waliokuwa wanalinda vizuizi barabarani.

Simbikangwa mwenye umri wa miaka 54 anatumia kiti cha magurudumu baada ya kupata ajali ya gari mwaka 2008 kisiwani Mayotte alipokuwa akiishi wakati huo.

Katika mauaji ya Kimbari 1994, watu takribani 800,000 waluawa na wengi weng kupoteza makaazi yao.
Na Mwanaharakati.

No comments: