MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 15 March 2014

MASKINI MZEE MAJUTO!!!




Akizungumzia sinema hiyo inayokwenda kwa jina la Chungu Kimoja, alitiririka:

“Mwanzoni nilijua mwanangu Hamza pekee ndiye anayeweza kumbe familia nzima bwana, kuanzia Mudi, Haruna, Bilal hata Pili, wote wamekamua vilivyo.”
 

Na Mwanaharakati.

No comments: