MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 14 March 2014

MVUA ILIYONYESHA KAGERA

Picha juu ni daraja jipya la Kanoni Hamgembe baada ya mvua ya kwanza leo
 Shughuli za wananchi zilizosimama tangu asubuhi sasa zinaendelea katika mji wa Bukoba picha juu ni Hamgembe na chini barabara ya Kasarani kuelekea Kastamu bandarini.
 Tazama picha mbalimbali zikionesha hali ya mto Kanoni ambao umezunguka mji mzima wa Bukoba
Hapa ni eneo la Bukba Inn

Hapa ni karibu kabisa na hotel ambayo viongozi wakitaifa ufikia karibu na Club Linas

Hapa ni eneo ambalo nyumba zilizopembezoni zimejengwa majuzi tu wakati wananchi wakielezwa kuhama maeneo ya mabondeni, la Kasarani
Hapa ni Nyakanyasi darajani kuunganisha Uswahili na historia ya hapa maiti za watoto huonekana wakielea mara kwa mara hasa katika msimu wa mvua

Huyu ni miongoni mwa akina mama walioshindwa kutoka ndani tangu asubuhi na sasa ameieleza kanda ya ziwa kuwa maji yanapita katika mtaro uliopo mlangoni kwake hivyo alisubiri maji yapungue.
Wananchi katika manispaa ya Bukoba wameshatakiwa kuahama maeneo ya mabondeni lakini wanagoma kwamba wamepimiwa maeneo hayo na halmashauri.
Na Mwanaharakati.

No comments: