Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Bukoba (BUWASA)
inawatangazia wateja wake kuwa imeweka punguzo la maalumu la huduma za maji
kuanzia 15/03/2014 hadi 15/04/2014.
Wateja waliokatiwa maji watalipa madeni yao bila faini na
wateja wapya ada ya kuunganishiwa maji imepungua kwa aslimia 50.
Wiki ya maji mwaka huu itaongozwa na maudhui ya “UHAKIKA WA
MAJI NA NISHATI (WATER AND ENERGY)”.
Ndugu mteja wahi sasa kabla ya ofa maalumu kuisha.
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment