Bunge hilo limevurugika baada ya wajumbe kukataa ripot ya rasimu iliyokuwa isomwe katika bunge hilo, na mwenyekiti wa tume ya katiba JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA.
Taariga zinasema kuwa Mh Warioba aliposimama kusoma taarifa yake wajumbe walianza kipiga kelele na meza wakishonikiza kuwa kwanza wanahiyajo tais Kikwete azindue mbunge hilo ndipo watapokea ripot ya Warioba.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment