MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 18 March 2014

NDEGE WENYE SUMU WASABABISHA 7% YA WATOTO NA 3% WATU WAZIMA KUTOPUMUA VIZURI KISIWANI MUSIRA

 Bwana Khawa amesema kuwa taarifa hiyo inaonesha asilimia 45% ya mapaa ya nyumba za mabati yamepata kutu na kutoboka kutokana na kinyesi cha ndege.

Asilimia 61% ya kuku na 6% ya mbuzi wamekufa kutokana na vinyesi.
 
Dokta Ruuta mganga mkuu wa mkoa wa Kagera
Mh Diwani kata Miembeni Richard Gasper
Asilimia ya wakaazi wa Musira wanaupele na kuwashwa ngozi baada ya uvamizi wa ndege.
Mkuu wa mkoa na wataalamu pamoja na wanahabari wakishuka kwenye mtumbwi

Wakaazi wa Musira wakisikiliza ripoti ya wataalamu wa uchunguzi

Ni Wakaazi wanaugulia ngozi kutokana na kupata upele na ngozi kuwasha.
Hili ni kanisa la Orthodox kisiwani humo, ambalo limezungukwa na miti iliyojaa ndege hao
Taarifa rasmi inasema 28% ya wakaazi wamekuwa na tatizo la kuumwa tumbo na kuharisha baada ya uvamizi wa ndege hawa.

Pia wakazi hawa asilimia 43% hawachemshi maji ya kunywa na 4% tu ya wakaazi wa Musira ndiyo wenye vyoo bora.

Hatahivyo sampuli zilizokusanywa na wataalamu kuanzia 11 mach adi 16 mach 2014, yamepelekwa kwa mkemia mkuu, ili kuchunguzwa kutokana na vitedea kazi hafifu katika kituo kilichopo mkoani Kagera, hivyo taarifa zimesubiriwa.
Na Mwanaharakati.

No comments: