![]() |
|
Baadhi ya waumini wa Kanisa
la Joy Jesus wakiwa nje ya kanisa baada ya shambulio hilo.
|
WATU wawili wameuawa wakati wengine kumi
wakijeruhiwa baada ya mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi
ndani ya kanisa la Joy Jesus huko Lokoni, karibu na Mombasa nchini Kenya.
Maafisa wa polisi katika wilaya ya Likoni iliyopo
kusini mwa Mombasa wamesema kuwa jambazi huyo alilivamia kanisa hilo na kuanza
kuwafyatulia risasi waumini hao kiholela.
Bado haijafahamika kama muuaji huyo ana uhusiano na
vikundi vya kigaidi.
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment