MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 28 March 2014

BREAKING NEWS!!! WATU 10 WAMEKUFA PAPO HAPO KWA AJALI

Ajali mbaya imetokea Hedaru-Majengo same ambapo watu 10 wamefariki dunia papo hapo ambao ni wanawake waliokua wanaenda msibani na kadhaa kujeruhiwa..baada ya gari lao double cabin kugongwa kwa nyuma na lori lililokua likitokea moshi kuelekea chalinze.
majeruh zaid wamekatika viungo kwa kulaliwa na magar hayo..
chanzo ni mwendo kasi kwa mujibu wa askari.


Taarifa zinasema kuwa walikuwa wanatoka kwenye msiba aliyesombwa na maji ya mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha, endelea kufuatilia hapa.
Na Mwanaharakati.

No comments: