Majina ya waalimu wapya yametoka kwa
mwaka 2013/2014,walimu
wote wapya wanatakiwa kuripoti bila kukosa kwenye Halmashauri walikopangiwa
ifikapo tarehe 01 Aprili
2014 ili waanze kazi mara moja.
Angalizo ni kwamba majina haya
yamewekwa kwa mfumo wa PDF, hivyo baadhi ya simu chache sana zinaweza
kukuonesha majina haya baada ya kuyapakua(kudownload) hivyo tunakushauri
udownload kwa kutumia kompyuta ili uweze kuyaona. BOFYA HAPA
Na Mwanaharakati.


No comments:
Post a Comment