NI KATIKA MAADHIMISHO YA KUONDOA NA KUPINGA UKATILI WA
KIJINSIA MAJUMBANI- KATIKA KANISA LA KKKT MANISPAA YA BUKOBA.
![]() |
| Watoto na waumini wakifuatilia mahubiri. |
Kanisa la KKKT dayosisi ya kaskazini magharaibi, kupitia
kitengo cha haki za binadamu mjini Bukoba limeadhimisha siku hiyo duniani,
ambapo watoto wanaolelewa na kitengo hicho kutoka maeneo mbalimbali, wamepaza
sauti zao wakiomba kutunza na kupewa haki zao katika familia.
![]() |
| Baadhi watoto yatima waliotolewa mitaani wakiimba nyimbo za kuisihi jamii kuwatambua watoto |
![]() |
| Ibaada imeongozwa na mchungaji EBENEZA kushoto, na mahubiri yametolewa na Dk JAPHET RWEYEMAMU nyuma katikati. |
Mratibu wa kitengo hicho mwanaharakati NAOMI KANYONI hayupo pichani,
amewaomba wananchi kote nchini na duniani, kuwatunza watoto na tofauti na hapo
wasaidie kutoa taarifa kwa wasaidizi kuliko kuwatenga watoto kwani pamoja na
taarifa kusema kuwa wengi wa watoto hao wanatokana na familia zenye migogoro,
wengine wanatokana na walezi wao kuwa wa kali na kuwanyima haki.
Kitengo hicho kinahudumia watoto zaidi ya 50 ambapo taarifa
za mkoa zinaonesha ongezeko la watoto mwaka huu, kutokana na wengi kutopelekwa
shule.
Na Mwanaharakati.






No comments:
Post a Comment