MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 23 March 2014

BREKING NEWS!!!NDEGE IMETUNGULIWA MUDA MFUPI ULIOPITA

Vikosi vya jeshi vya Uturuki vimeiangusha ndege ya Syria saa mbili zilizopita, ilipojaribu kukatiza katika anga la Uturuki katika mpaka ambao upo kwenye mkoa wenye wakimbizi ambao wamekuwa wakipambana na makundi ya rais Bashar Al Assad.

Waziri mkuu wa Uturuki Receip Tayyip Erdogan amesema ndege ya Syria imeingilia anga letu alipokuwa akiwaeleza mamia ya wananchi wanaoiunga mkono Uturuki kaskazin magharibi mwa Uturuki muda mfupi uliopita.

The rebels have been fighting for control of the Kasab crossing, the border region, since Friday, when they launched an offensive which Syrian authorities say was backed by Turkey's military.
Syria said Turkish air defenses shot down the jet while it was attacking rebel forces inside Syrian territory, calling the move a "blatant aggression".
State television quoted a military source as saying the pilot managed to eject from the plane. The Syrian Observatory for Human Rights monitoring group said initial reports from the area said the plane came down on the Syrian side of the border.
Al Manar, the television station of Assad's Lebanese ally Hezbollah, said two rockets had been fired from Turkish territory at the Syrian jet. (Reporting by Daren Butler in Istanbul and Dominic Evans in Beirut; Editing by Jeremy Gaunt)

Na Mwanaharakati.

No comments: