MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 28 March 2014

KURA YA SIRI AU YA WAZI YAPIGIWA KURA BUNGE MAALUMU

Ni baada ya kamati iliyoundwa jana ikiwashirikisha Mwenyekiti wa UKAWA Freeman Mbowe, Mh Ibrahim Lipumba, na askofu mkuu mstaafu wa KKKT.

Katika taarifa ya kamati hiyo ndogo, imeamriwa kuwa yatekelezwe maamuzi ya kuwa na aina mbili za kura yaani ya siri na ya wazi, hivyo kwa mujibu wa taratibu za bunge hilo, ni lazima wajumbe wahojiwe kama wanaipitisha au hapa.

Hivyo wajumbe wanahojiwa kwa njia ya kupiga kura ya ndiyo au hapana na wengine wanapiga kura ya siri kuhusiana na suala hilo.
Na Mwanaharakati.

No comments: