Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa
Mara, John Tupa kwenye viwanja vya Nyerere mjini Dodoma Machi 28,
2014.Wengine pichani ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais, Stephen Wasira a Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William
Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment