Kura zilizopigwa ni 563 ambapo mchuano ulikuwa mkali na usio na chuki kutokana na furaha ya wagombea wote baada ya matokeo kutangazwa.
Mh SITTA ameshinda kwa kuibuka na kura 487 huku mshindani wake Ashimu Lungwe akiibuka na kura 69 sawa na asilimia 12%
Kesho bunge hilo maalumu, litamchagua naibu mwenyekiti, ambapo masuala ya kijinsia, na uzanzibar na bara utazingatiwa kwa mujibu wa kanuni zinazoongoza bunge hilo.
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment