MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 9 March 2014

VIFO VYA VIKONGWE MULEBA; SIKU YA WANAWAKE MKOANI KAGERA

Maandamano yalianzia katika eneo la Malahala hadi uwanjani Fatuma.

Ni kikundi cha wanawake cha ukakamavu kikielekea uwanjani kuonesha gwaride lake, huku msimamizi wa kikundi hicho na afisa habari wa mkoa SYLIVESTER RAPAHEL akifuatilia kwa karibu.

Msafara wa maandamano uliongoza na Prof Tibaijuka mwenye nguo ya Pink na kitambaa katikati mbele.
Mama Rugabarabamu akionekana katika picha na miwani yake
Vitabu vinavyouzwa na moja ya kikundi

Akina mama wakiuza mazao ya kilimo katika maadhimisho hayo.
Ni banda la akina mama wajasriamali.
TAARIFA ZA VIFO VYA WA KONGWE TUNAZIFANYAIA KAZI ILI TUJUE NA IDADI YA WALIOKWISHAUAWA NA NI ENEO GANI HASA.
Na Mwanaharakati.

No comments: