Ni katika mjadala uliofunga bunge hilo usiku wa leo, huku wajumbe wakivutana katika kuruhusu au kutoruhusu waandishi habari kuudhuria vikao vya kamati.
Ni Halima Mdee, Moses Machal, na mmoja wa wajumbe pamoja na Freeman M. walioshikilia msimamo kuwa lazima wanahabari waingie tangu mwanzo ili wananchi wapate taatifa na huku wakisema kuwa wanaozuia wanhofu kuanikwa masuala yao binafsi.
Kwaupande wake George Simbachawene mjumbe wa kamati amesema kuwa wakiingia wanahabari watawachanganya wananchi kwakuwatangazia kila kitu hata ambayo hayajachujwa, jambo linalowashangaza wanahabari kuwa wanaonekana hawajui ni kitu gani muhimu kwa jamii.
Katibu wa MCT Kajubi mkajanga ni mjumbe wa bunge hilo, sikuona mchango wake hadi kama husika ilipoondoka nalo kuwa kesho itakuja na jibu kuwa imependekeza nini.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment