MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 8 April 2014

ASKOFU KILAINI AMZIKA BABA YAKE MZAZI


Baba askofu Kilaini akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu baba yake.

Askofu mstaafu Nestorius Timanywa katikati akiongoza ibaada ya kumwombea marehemu.

Askofu Kilaini akisoma somo la kusindikiza mwili kaburini.
                                     
Mkuu wa wilaya ya Bukoba Ziporh Pangani akitoa heshima za mwisho.
Askofu mstaafu Nestorius Timanywa akiweka shada ya maua kwenye kaburi.

Waziri wa ardhi nyumba na makazi Prof Anna Tibaijuka akiweka mshumaa kaburini.

Baba Askofu Kilaini akiweka shada la maua.

Dada wa marehemu akiweka shada la maua.
Mzee Kilaini amezikwa kijijini kwao Katoma, baada ya kufariki wiki iliyopita kule Dar es salaam akiwa na umri wa miaka 87, na ameacha wajukuu na vitukuu.

Amefariki tarehe 04 april, tarehe na mwezi kama aliyofariki mkewe miaka minne iliyopita. BWANA ALITOA NA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE. AMIN.
Na Mwanaharakati.

No comments: