| Mgeni Rasmi Mh. Profesa Mark J. Mwandosya Waziri Ofisi ya Rais akitoa hotuba yake kwa wananchi waliofika katika Maadhimisho hayo ya Miaka 20 ya Mauaji ya Rwanda. |
| Mh. Benjamin Rugangazi akitoa Neno kutoka Ubalozi wa Rwanda Nchini Tanzania |
| Mwakilishi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon , Mh. Dk Jamal Gulaid akisoma Ujumbe wa Katibu mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa. |
| Baadhi ya wageni waliofika katika kumbukumbu hizo wakiwa wanaimba nyimbo mbili za Taifa kutoka Rwanda na Tanzania. |
|
Maandamano ya Kumbukumbu ya miaka 20 ya Mauaji ya
Kimbari yaliyotokea mwaka 1994 yakiendelea kuelekea Ukumbi wa Mlimani City kwa
ajili ya Maadhimisho hayo.
|
No comments:
Post a Comment