Taarifa za awali zinasema kuwa bomu hilo limeripuka katika baa moja ijulikanayo kama NIGHT PARK muda wa saambili kasoro usiku huu.
Limejeruhi watu kadhaa ambapo wamekimbizwa katika hospital ya Mount Meru na Selian jijini Arusha.
Polisi wanaendelea na uchunguzi pamoja na kutazama kama kuna vitu vingine vinavyoweza kuwa vya milipuko huku wananchi wakitaadharishwa kukaa mbali.
Tutaendelea kukuletea undani.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment