Nicolaus Mac (None Association Movement)
KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)
Sunday, 13 April 2014
MWANAJESHI AUA WATU NANE KWA UGOMVI WA MAPENZI
Msemaji wa jeshi nchini Uganda, amesema kuwa kati ya hao waliouawa ni wanajeshi 4 na raia 4 waliopigwa risasi baada ya kuhitilafia katika kugombea mwanamke.
Ni msemaji Lonard Kekurungu
Amesema kuwa mwanajeshi huyo alikuwa kwenye ukumbi wa Disco na wenzake mjini Kampala, lakini baada ya kulewa wakaanza kugombea mwanamke ambapo baada ya muda mwanajeshi huyo ambaye hakumtaja jina aliaza kuwarushia risasi waliokuwa kwenye ukumbi huo wa disco na hatimaye naye kujiua kwa risasi.
No comments:
Post a Comment