MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 13 April 2014

BREAKING NEWS!!!MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA


MKONGWE wa Dansi nchini, Maalim Muhidin Gurumo aliyekuwa akitumikia Bendi ya Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ kabla ya kustaafu mwaka jana, amefariki  dunia.
Mzee Gurumo enzi za uhai wake

Mwanamuziki huyo amefariki alasiri hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mpaka sasa sababu sababu kamili bado na taratibu za mazishi bado hajizafahamika.

Tunaendelea kufanya mawasiliano ya kina kukuletea taarifa hii kuhusu taarifa ya kifo hicho

Na Mwanaharakati.

No comments: