Taarifa zinasema kuwa bomu hilo limeripuka katika
baa moja ijulikanayo kama NIGHT PARK iliyopo Mianzini muda wa saambili kasoro
usiku wa jana.
Limejeruhi watu 15 ambapo wamekimbizwa katika hospital ya Mount Meru na Selian jijini Arusha.
Limejeruhi watu 15 ambapo wamekimbizwa katika hospital ya Mount Meru na Selian jijini Arusha.
‘Arusha night park’ Arusha ambayo siku zote ni
miongoni mwa sehemu zinazokua na mkusanyiko wa watu wengi kuanzia jioni,
limerushwa bomu wakati watu mbalimbali wakitazama mpira.
Kwenye sentensi nyingine pia amesema
hakuna aliepoteza maisha kwenye shambulio hilo ambalo uchunguzi wa awali
umeshatoka, ila baadae itatoka taarifa rasmi pale uchunguzi kamili
utakapokamilika.
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment