MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 12 April 2014

BREAKING NEWS!!! MELI INASADIKIWA KUZAMA ZIWA VICTORIA

Ni ya kampuni ya mfanyabiasha wa jijini Mwanza ajulikanaye kama KITANA.
Mfanyabiashara huyo amezungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu na kusema kuwa meli hiyo imezama ziwa Victoria upande wa Kagera, na juhudi za kumtafuta kamanda wa polisi Kagera kuthibitisha hilo zinaendelea.
 
Na Mwanaharakati.

No comments: