![]() |
| Sehemu ya bawa ikionesha propera ya Injine iliyogonga chini. |
Ngege hiyo imepata ajali Dar es salaam, na kujigonga chini
ambapo injini (engine) ya upande mmoja imeharibika na kuwalazimu abiria na
wahudumu kutokea katika mlango wa dharura.
Hamisi Suleimani ni kamanda wa viwanja vya ndege
amethibitisha kutokea ajali hiyo.
Tutakuletea undani wake.
Na Mwanaharakati.


No comments:
Post a Comment