MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 12 April 2014

WAZIRI MKUU ASHIRIKI CHAKULA NA TIMU YA WATOTO WA MITAANI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea  kombe la ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania  ya Watoto wa Mitaani, Frank William, wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma  Aprili 11,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wachezaji wa Timu ya Soka ya  Tanzania  ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia  wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na  wachezaji wa Timu ya Soka ya  Tanzania  ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia  katika Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili
Na Mwanaharakati.

No comments: