MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 12 April 2014

BREAKING NEWS!!!GARI LAPATA AJALI MANISPAA YA BUKOBA

Bwana Pascal Kabanga kulia
Akizungumza na mtandao huu kwa njia ya simu, mmiliki wa kampuni hiyo Bwana Pascal Kabanga, amesema kuwa gari hilo limepata ajali kwa kupitiliza kwenye round about ya Rwamishenye manispaa ya Bukoba muda mfupi kutoka sasa, na lilikuwa na vifaa vya Muziki kutokea vijijini kwa kazi zake za kila siku.

Katika ajali hiyo iliyosababishwa na kufeli kwa mfumo wa breki aina ya CANTER, kwa taarifa za awali halijasababisha vifo wala majeruhi, na limevamia makaazi ya watu baada ya kushindwa kukata kona katika round about hiyo.


Na Mwanaharakati.

No comments: