Taarifa zilizotufikia, zinasema kuwa ajali hiyo imetokea katika kijiji cha ITUMILA A wilayani Busega mkoani Simiyu, baada ya basi kuacha njia na kupinduka.
Inasemekana basi hilo lilikuwa likitokea Musoma kwenda Mwanza, na taarifa rasmi tutaendelea kukuletea.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment