Chini ya kichwa Dar Express majanga.ni taarifa iliyufikiwa mtandao huu kutoka barabara ya Arusha- Dar ambapo abiria wamezungumzia kukwama kwao hii leo.
Mazungumzo tuliyofanya na mmoja wa abiria katika eneo la tukio, anasema imekuwa kama desturi kila akipanda basi za
kampuni hiyo Dar-Rombo-Moshi -Arusha anakumbana na dhama.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment