Akitoa ufafanuzi wa maoni ya wachache katika kamati hiyo, Mh Mohammed Mnyaa mjumbe, amesema kuwa wamesikitishwa na mwenyekiti wa kamati hiyo Mh Umi Mwalimu, kubadilisha baadhi ya Answerd ambazo zimejadiliwa katika kamati hiyo, na kuzitaja tofauti.
Amesema kuwa kama mtindo utakuwa hivi hakuna atakayekubaliana naye kwani masuala ya wajumbe yanatakiwa kuwasilishwa kama yalivyojadiliwa, na kudai kuwa hii ni katiba ya wananchi.
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment