MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 9 April 2014

FRIENDS OF BUKOBA WASHAURI WANA KAGERA KUJIUNGA PAMOJA POPOTE WALIPO

Bwana Kamuzora.
Ramani ya mkoa wa Kagera
Maaskofu na wapadri waliokwishajiunga.



Wananchi wazawa wa mkoa wa Kagera popote walipo, wameshauriwa kujiunga na mtandao wa friends of Bukoba ili kupeana mawazo na taarifa za kuleta maendeleo mkoani humo.

Hayo yamesemwa na ED KAMUZORA, ambaye ni mmoja wa wanafrieds of Bukoba japo anaishi nje ya Bukoba, akisistiza kuwa mtandao huo unawaunganisha wakazi wa bukoba popote walipo duniani, akisisitiza kuwa kwasasa kuna wanachama 700

Na Mwanaharakati.

No comments: